Msaada Please- Fundi wa Camera

Msaada Please- Fundi wa Camera

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Ee bwana habarini za asubuhi wana JF. Poleni kwa uchovu wa weekend.

Mie Karucee bwana niliangusha Camera yangu aina ya Samsung Lens ikiwa open. Hapo hapo ika rest in pieces.

Naomba kama kuna fundi munae mfahamu ndugu zanguni munielekeze. Nahitaji kumfotoa mwanangu.

Good Day.
 
mkuu ngoja tusubili wataalam waje sababu hata mmnilikuwa na katatizo ila mm nilikapuuzia.
tatizo langu mm labda nitoe back ground kdg ya tatizo lenyewe. kuna jamaa yangu 1 nilimuazima kamera baadae akajakuniludishia lkn nilipo iwasha ili nipige picha screen yake hai display picha ninayotaka kuipiga inamaana kwenye screen sioni kitu chochote lakini yale maandishi ya setting yanaonekana.
na hata kama ukisema upige picha inapiga kama kawaida lkn inaonyesha kiza tuu?

kamera yangu ni kodak M550
tunaomba msaada wenu wakuu au kama kuna fundi anayeweza kutusaidia tunaomba contact zake tumpe dili
 
Ee bwana LEGE, ndo wametutosa au?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom