uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,223
- 801
natumia htc Desire c lakini cha ajabu playstore haifunguki mwanzo ilikuwa inafunguka kwa muda tu sasa ndio imegoma. msaada
Fanya yafuatayo. Ingia settings, halafu ingia applications halafu manage. Kwenye list ya chagua playstore, Clear cache, Clear data. Ukimaliza nenda ukafungue playstore tena. Itachukua muda kidogo kutokana na ku-load information na ukagua version ya simu yako na mengine mengi, lakini haizidi sekunde 20.
nimejaribu but hataki mkuu
Net Ipo Chini Jaribu Tena Baadae Au Siku Nyingine
natumia htc Desire c lakini cha ajabu playstore haifunguki mwanzo ilikuwa inafunguka kwa muda tu sasa ndio imegoma. msaada