Msaada Playstation 2

jumaa24

Member
Oct 11, 2011
97
13
hii ni siku ya 2 now ps2 yangu nikitumia ikifika dk 5-10 na kuendelea ina freeze after dat tv ina noise then ps2 inakata kwenye TV signal kama mtu aliyeizima wakati still iko on!! huwa natumia usb games so no one can tel me dat reason ni cd coz hata isipokuwa na kitu chochote kile hata ukiwasha ukiacha kwenye menu itaenda tym den ina freeze!! any help??
 
Kuna mengi yalishatolewa ka ushauri kuhusu PS2.. Kama una muda search thread Hapa JF za PS2 au google PS2 problems..
 
Feni yake inafanya kazi bila tatizo? Kuna vumbi kiasi gani kwenye kipumulio chake jumaa24?
 
Last edited by a moderator:
dah i was havn a problem similar to dat a while ago,nilivonunua hiyo kitu hapo nyuma! But kulikua hamna soln niliirudisha kwa dealer maana zilipita lyk 2weeks only ndo likaanza tatizo nd i had a month or two of warrant!! Tatizo lipo kwenye software ts corrupted nd fixn dat aint no beach party.
 
firmware version zimecorrupt, hasa uki2mia game za usb mara nyingi, solution ni ku-update hiyo firmware
 
Thanx kwa info kaka!! Hujapewa ufumbuzi kwa nini inatokea hivyo cos for me nimeitumia mda mrefu sasa
 
firmware version zimecorrupt, hasa uki2mia game za usb mara nyingi, solution ni ku-update hiyo firmware

Ahaa!! So unaniambia kuwa hizi game za usb ndo tatizo!! Thax alot!! Huo ustaarabu wa ku update ni complicated sana!! I need to know!!
 
firmware version zimecorrupt, hasa uki2mia game za usb mara nyingi, solution ni ku-update hiyo firmware

:biggrin: The PS2 was not designed for upgradable firmware. The only thing you can upgrade on it is the DVD player, and that saves the upgrade to a memory card, not to the firmware. labda una maanisha PS3 mkuu? haha
 
Yah hata mimi nimetoka kuisoma mda si mrefu hiyo quote!! Hata nilipo nimeifungua yote najaribu kuisafisha na kufuta vumbi fan
 
una boot ps2 yako kutoka kwa mmc ili uweze kucheza games of your hdd, sio? umejaribu kuiwasha bila memory card ili uone labda kama ni bootloader unayotumia ambayo imecorrupt? na u disable hiyo bootloader kwa mod chip unayotumia
 
mi natumia slim ps2 so natumia (OPL) open ps2 loader ku run games from external hdd!! Nime try ku disable modchip, kuchomoa memory card bila mafanikio!! Mbaya zaidi huwa ina freeze hata kwenye configuration yani, yani bila kuchomeka kitu chochote zaidi ya gamepad cable tu!!
 
du! mbona inakuwa soo kihivo. ngoja nifanye mautafiti kidogo. I'll be back :biggrin:
 
Back
Top Bottom