Mkuu nami nina tatizo kama hili kabisa natumia Lenovo Y50-Y70 mashine ya kisasa kabisa! Hii ni mara ya pili kutokea lakini huwezi amini first time ilitokea ikakaa sawa yenyewe nimeanza kuhisi ni issue ya VGAok boss ngoja nichek
Mkuu ulipata ufumbuzi? Mimi tatizo lilikuwa n iVGA niliInstall drivers za graphics card mashine imekuwa mpya kabisaNmetumia hdmi Lenovo G50 <-------->Samsung led Tv
kule haija display rangi rangi kabisa.......so nmegundua tatizo lipo kwenye display system ya Pc ........kuanzia wire unaokuja kutoka display hadi Motherboard na display yenyewe.................
NIKIBAINI CHANZO KABISA NITARUDI......ahsanteni
Ile ina shida ya dsplay n yakutoa maana nkitumia external monitor fresh.... nili install driver wap ila Juz kuna hp mpya nimetatua tatzo kama hilo shda ilikuwa graphics driver...Mkuu ulipata ufumbuzi? Mimi tatizo lilikuwa n iVGA niliInstall drivers za graphics card mashine imekuwa mpya kabisa