Msaada pes 2017

hamna gpu hapo,

hilo pes 2016 ulilicheza kwa windows 7?
Hii pes ni mara ya kwanza kuingiza humu, ila magame mengine kama call of duty 4modern warfare kwenye window 7 ilikuwa inacheza vizuri ila kwa sana inagoma sana
 
Hii pes ni mara ya kwanza kuingiza humu, ila magame mengine kama call of duty 4modern warfare kwenye window 7 ilikuwa inacheza vizuri ila kwa sana inagoma sana
sio magame yote yapo sawa,

jaribu pes 13 ndio jepesi na lakisasa kwenye familia yapes
 
Nilipata used nvidia geforce gt520, 1gb kwa shilingi 100000. Pots 1dvi, 1hdmi, 1vga.
 
Wakuu Nimeingiza game la pes 2017 ila nikitaka kulifungua naandikiwa " Unable to initiate stream Api" msaada tafadhari kwa mwenye kujua jinsi ya ku fix tatizo hili.
Natanguliza shukrani

pamezibwa

hata mimi matatizo kama hayo ktk games nyingi yalinipata hivyo nilibidi kutafuta GPU nilifanikiwa kupata gpu katika mtandao wa aliexpress.com nilipata
nvidia GT610 2gb ddr3 kwa elfu 90 ambayo naifurahia kwa sababu inasukuma almost games zote kwa low mpaka medium .30 hadi 60 fps kwa games nyingine

kwa hiyo hapo inabidi utafute gpu mkuu angalau 1gb ddr3
 
Asanteni ngoja nijipange sasa
Nilipata used nvidia geforce gt520, 1gb kwa shilingi 100000. Pots 1dvi, 1hdmi, 1vga.
 
Oy mkuu mimi pes 2016 mbonakuseti pad mbili moja bado inakataa kuwa inafanya kazi na pad zote nzima
chomeka pad zote mbili halafu nenda katika setting itakayoonekana kama hivi

ukisa config pad 1 nenda hapo kushoto
controller weka 2
device weka pad ya pili
 
ili ucheze two player inabidi kifaa chengine kiwe tofauti na mwanzo, mfano unaweza cheza pad na keyboard. sijawahi jaribu ila nafkiri pad ya xinput na directinput zinaweza cheza pamoja.

issue nyengine mkuu ya kujaribu kabla ya mechi si inakuja sehemu ya kuchagua controller? anaeshika pad ya pili abonyeze direction ya kulia ili pad ya pili iwe player 2

Mkuu nimeingiza game la Tom Clancy endwar ila nikitaka kulaunch kama linataka kufunguka halafu unakuja ujumbe huu
Sijui una maana gani
 
Mkuu nimeingiza game la Tom Clancy endwar ila nikitaka kulaunch kama linataka kufunguka halafu unakuja ujumbe huu
Sijui una maana gani
probably hujameet minimum specification za game,

angalia game linataka nini na uwezo wa pc yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…