Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,344
- 13,870
Ocean of gameUmedownload web ip. Au umepewa
Lakwanza pekee, ila laptop limecheza vizuri kasoro computer nyinginevipi ulidownload na hilo file la pili hapo chini
Asante mkuu ngoja nijaribuJalibu kudownlod na hilo file la pili mana ndo linafix hizo error
Mkuu nilikuwa nalicheza kwenye laptop sema inazingua chaji nataka niliamishie kwenye desktopUsipate tabu tar1 Jan 2017 litaplay vizuri. Umewahi kabla ya muda kufika.
Mkuu unaweza kuniambia specification za laptop yako ili nifahamu kama na kwangu naweza kulichezaMkuu nilikuwa nalicheza kwenye laptop sema inazingua chaji nataka niliamishie kwenye desktop
Mkuu limekubali kwa kudownload kwa kuziingiza hizo kutoka pale pale ocean of game, ila naomba unisaidie kitu kimoja.. Pc yangu nilikuwa nimeipiga window 7, ilikuwa inacheza magame vizuri ila baada ya kupiga window 10 magame yaleyale yote yanascrach sana siwezi kabisa kuyacheza, . Msaada tafadharimkuu ni steam au stream? kama ni steam ni zile .dll za steam zinazingua. halina folder la crack hilo game ambalo ndani kuna dll za steam?
hapo inawezekanaMkuu limekubali kwa kudownload kwa kuziingiza hizo kutoka pale pale ocean of game, ila naomba unisaidie kitu kimoja.. Pc yangu nilikuwa nimeipiga window 7, ilikuwa inacheza magame vizuri ila baada ya kupiga window 10 magame yaleyale yote yanascrach sana siwezi kabisa kuyacheza, . Msaada tafadhari
hapo inawezekana
1. huna driver za graphics,
2. games unacheza kwenye resolution kubwa
una computer gani? ina cpu gani?
Kwahiyo nifanyeje hapo maana nimeweka kwenye resolution ndogo lakini badohapo inawezekana
1. huna driver za graphics,
2. games unacheza kwenye resolution kubwa
una computer gani? ina cpu gani?
unaona sasa hapo gpu yako haionekani kama ni ya intel bali inatokea basic render, hio desktop haina dedicated gpu? angalia kwa nyuma uone kama ipo kama hamna nenda device manager halafu right click display adapter utakayokuta then chagua update driver
Mkuu samahani, nyuma ya pc naangaliaje?unaona sasa hapo gpu yako haionekani kama ni ya intel bali inatokea basic render, hio desktop haina dedicated gpu? angalia kwa nyuma uone kama ipo kama hamna nenda device manager halafu right click display adapter utakayokuta then chagua update driver
angalia mstari wa kijaniMkuu samahani, nyuma ya pc naangaliaje?
angalia mstari wa kijani
hizo ni slot za kuongeza vitu kama gpu, ukiona eneo hilo kuna port ujue gpu ipo ukiona pamezibwa tu na vyuma ujue hamna