hapo hapo kwenye ISO ya PES uliyotumia kufanya installation kuna folder imeandikwa crack. ndani ya folder kuna file la PES13.exe
copy hii into your installation directory. utajua ni sahihi maana itakuuliza kama unataka replace au rename (same name issue). overwrite na you are good to go