Duh!! siku za joto tena!! Dawa ya siku za joto mbona ni rahisi sana!! kumbatio (toka kwa baby wako) moja tu la dk 2 huku wote mkiwa kimyaaaa!! speechless!! baada ya dk hizo mbili mnatazamana usoni kwa dk 1 kimyaa!! hasira zote zinayeyuka!! Angalizo: Kinga iwepo karibu kama ikitokea/just in case!! hizo ni siku za hatariiii!! si unajua joto tena, hapo mwili uko tayari kabisa kuanzisha maisha ya kiumbe kipya!!
Ila ni pole sana kama kipindi hicho kikakukuta huna "baby"!! na huwa unajisikia hasira kipindi hicho cha joto, hapo zinakuwa maradufu!!. Suluhisho hapo ni kuji-keep busy, buni shughuli nyingi za kufanya, waza mipango yako ya maendeleo. Jitahidi kutokujichanganya na "me" katika mazingira tatanishi vinginevyo unaweza kufanya jambo ambalo hukulitarajia na baadaye ikawa majuto ni mjukuu!!