Asante dear.Pole mwaya! Hauko mwenyewe. π«
Kwasababu unajua tatizo lako, jaribu kua unaji-isolate kwa muda na kama mtu akikukwaza jitahidi usi-react kwa wakati huo. Kingine, ni muhimu watu wako wa karibu wakijua huwa unakua na siku mbaya during your period ili na wao wajue jinsi yaku-deal na wewe kwa wakati huo.
Mi nakuwaga na hasira za mbogoπ afu fresh tu Kwan Niniππ€Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Wee,sema kweli?Hii mpya kwangu
KweliWee,sema kweli?
Hapa nina homa,kichwa kinauma,kichefuchefu ni mawenge tu.Bora wewe wengine wanapata cramps na body temperature ina -raise πππ unakaa kizembezembe ka.kuku anaeumwa π π π π
By the way jaribu kujizuia ainisha faida na madhara yake, then stick na hayo madhara yaani ukitaka kufanya then kumbuka utamdhuru fulani then mood ina change automatically