Joenh
Member
- Oct 6, 2015
- 45
- 53
Habari wana jamvi . samahanini sana pc yangu imezima ghafa tuu . ni kwa mda sasa haitumiki mara kwa mara. Ni deli na ina run dual operating system window ten na ubuntu . sasa imezima haiwaki . indicator za power huwaka kama kawa ila screen huwa black . kwa anaejua tatzo ni nini ? Naomba anisaidie ili niweze kwenda kwa fundi kurekebisha . au ndo imekufa nifanye mpango wa kununua mpya ?
Asanteni
Asanteni