Msaada: PC yangu inazima ghafla baada ya kuchemka sana

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,765
20,154
Habari,

Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza.
Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro.

Natumai nitapata msaada.
 
Habari,

Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza.
Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro.

Natumai nitapata msaada.
Kma fan ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni.

Kma we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe
 
Kama fen ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni.

Kama we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe
Aaaaaaaaah! Sawa
 
Back
Top Bottom