C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 987 Jan 18, 2016 #1 PC yangu kila nikiiwasha inapofikia sehemu ya starting window inastack hapo/ ina-freeze muda mrefu sana na Mara nyingine inaniletea startup repair. Sasa sijui shida nini kwa anayefahamu anifahamishe.
PC yangu kila nikiiwasha inapofikia sehemu ya starting window inastack hapo/ ina-freeze muda mrefu sana na Mara nyingine inaniletea startup repair. Sasa sijui shida nini kwa anayefahamu anifahamishe.
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 987 Jan 21, 2016 Thread starter #2 Jamani hakuna mtaalamu wa hii kitu?