Msaada, Pc inazima nikiunganisha kwenye internet.

Msaada, Pc inazima nikiunganisha kwenye internet.

Dayone

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
85
Reaction score
200
Wakuu, kheri ya Xmass na mwaka mpya, Niende kwenye maada ni kwamba nina kompyuta ya lenovo kila nikiunganisha Wi-fi hotspot ya simu inaconnect vizuri ila tatizo nikiingia youtube inaplay kama dakika kumi na tano tu inazima hata nikiwa ninagoogle tu kawaida kwenye broweser inazima baada ya dakika kumi na tano, ni lenovo na simu nnayotumia kwa hotspot ni huawei 330. Hili tatzo mwanzo halikuwepo na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa bila shida yyte. Tafadhali msaada kwa anayejua jinsi ya kutatua tatizo hili,
 
Back
Top Bottom