Msaada: PC inapoteza sauti na kurudi tena

Msaada: PC inapoteza sauti na kurudi tena

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,489
Reaction score
38,389
wadau natumia window 10 kwenye pc ya hp... tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kuna muda nikiwa naplay audio ghafla sauti inakata, nikirestart pc saut inarud au inaweza kaa kidogo hata nisiporestart sauti itarudi.. nimejaribu kuangalia driver za sauti naona ziko poa tu.
 
Back
Top Bottom