Msaada: PC inajizima Wi-Fi yenyewe

Msaada: PC inajizima Wi-Fi yenyewe

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
429
Wakuu kwema,

Naomba msaada PC, yangu inajiswitch off wifi automatically nimegoogle njia mbalimbali ila bado hijakaa sawa.

Mwenye ufahamu maomba anielekeze ufumbuzi wake.
 
Mimi nilipata tatizo kama ilo lilipona baada ya kubadilisha window (OS) ila lilinitesa sana
 
Mimi nilipata tatizo kama ilo lilipona baada ya kubadilisha window (OS) ila lilinitesa sana
daah nimetoka kupiga windows mpya juzi juzi baada ya iliyopa kuzingua kwa kukosea kufanya partition.

ila tatizo lilianza baada ya kufanya updates na ile update ya comulative.. ilifika 98% bundle lilaishaa
 
daah nimetoka kupiga windows mpya juzi juzi baada ya iliyopa kuzingua kwa kukosea kufanya partition...

ila tatizo lilianza baada ya kufanya updates na ile update ya comulative.. ilifika 98% bundle lilaishaa
Hapo fanya update upya inawezekana kunacode azikiuingia vizur
 
Hapo fanya update upya inawezekana kunacode azikiuingia vizur
ilifanya fresh na nikaconnect na wifi ya simu nikaanza kuupdate ila update haikumaliza mdo tatizo likaanzia hapo
 
Pia unaweza update wireless driver peke yake
ningejua ni driver gani ingesaidia sana...ila pia kufanya update ni changamoto maaana nategea wifi na moderm ninayo ila ya airtel tu
 
daah nimetoka kupiga windows mpya juzi juzi baada ya iliyopa kuzingua kwa kukosea kufanya partition.

ila tatizo lilianza baada ya kufanya updates na ile update ya comulative.. ilifika 98% bundle lilaishaa
Hii ni bug kwenye Windows 10 update za hapa karibuni. Ndio zinasababisha hyo issue. Hata mm wifi ina disconnect mara nyingine na bluetooth ikiconnect kwenye headphone hai disconnect hata ukizima headphones. Nikacheki mtandaoni nikaona kuna wengine wanayo hyo issue. So ni update ya sshv ndo ina hilo tatzo. Watalirekebisha baada ya mda
 
ok mkuu, sasa mtu kama mm nitapataje hiyo update kama ndo nategemea data kwa kuunganisha na wifi ya pc amabyo ndo inajiswitch off
 
Jarb usb tethering
nashukuru mkuu sana kwa msaada ila nina majanga simu yangu haisupport usb kwa pc wala fast charging [emoji848][emoji848][emoji848]...

nina moderm ya airtel ila line zingine hazisomi labda nikiweza kuiflash isome halotel maana halotel ina speef ya 20mbps
 
nashukuru sana wakuu wote kwa kuchangia

baada ya wiki ya kujaribu kila njia za google leo nimepata uvumbuzi naomba ila sikumbuki nilianzia wapi [emoji1787] kubonyeza ila nitakaa niwaletee hatua nilizopitia ila kama kuna mtu atakwama atapata pa kuanzia
 
Back
Top Bottom