Vangiporini JF-Expert Member Feb 20, 2012 310 217 Dec 17, 2013 #1 wakuu hii pc ikiwashwa inaleta black screen yenye maneno yafuatayo "power-on password" then kuna alama ya ufunguo.natanguliza shukrani zangu
wakuu hii pc ikiwashwa inaleta black screen yenye maneno yafuatayo "power-on password" then kuna alama ya ufunguo.natanguliza shukrani zangu