Msaada PC imeficha Desktop file

Msaada PC imeficha Desktop file

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
nilizima mashine vizuri ilivyowaka file sikuzione zote, zilikua baadhi tu, lakini ukisearch kwenye start menu unapata some folders, nifanyeje zirudi?
 
Explorer.exe yawezekana haijafunguka vizuri.

Inabid kuistop hio explorer.exe na kuianzisha upya.

Bofya ctrl +alt + delete kuingia kweny task manager

Thn chagua processes
Ukiwa hapo itafute explorer.exe
Thn bofya end process

Baada ya hapo rudi hapo upande w juu ndani ya task manager chagua file --> new task (run)
Itakuletea sehemu ya kuandika

Andika explorer.exe
Then bofya ok.

Kazi kwako
 
tafuta unused files, zipo hapo.

Au fanya system restore.
 
Back
Top Bottom