Msaada paypal

Msaada paypal

Nilikwama kupata passcode ya kuactivate paypal yangu hadi leo sijawahi kuangaika nayo.

Mkuu labda na mimi nichomekee swali langu hapo, ulipataje passcode ya paypal?
Kama unatumia kadi ya benki unaenda kuomba benki statement ya kipindi ulipojiunga na paypal utaikuta hiyo code ndiyo inarudi kwenye paypal site na kuendelea na kuactivate paypal yako. Kila la heri Mkuu
 
Shukrani mkuu na wakuu wote mlionipa mwanga zaidi. Nilitumia benki nadhani itakuwa vizuri nikachukue hii bank statement

Shukran sana
 
Tayari nishafanikiwa kuwa na paypal mkuu na ninaitumia sanaaa tu,na nimelipia bidhaa kama Tano mpaka sasa,,nilikua nafkria labda ni kazi ngumu kumbe ni nyepesi sanaa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia line gani?unaweza funguka kidogo ili tusio na mwanga kabisa tupate darasa?
 
Paypal yangu nimeunganisha kwa card ya crdb na ninaitumia vizuri tu nikitaka kulipia nalipia vizuri tu.
 
Back
Top Bottom