Kama ulisha activate card yako itumike online na Paypal wakakukata hela kidogo. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua bank statement. Kwa mfano kama paypal wamekata pesa leo wewe tulia halafu nenda kesho au kesho kutwa benk uombe statement ya kuanzia tarehe ya nyuma ambayo paypal wamekukata. kwenye statement yako tafuta transaction za VISA/MasterCard utona zile CODE tarehe na amount.
HIZI CODE HAZIPATIKANI KWENYE VILE VI STATEMENT VYA KWENYE ATM.