I recommend;
1. St. Joseph Cathedral church hapo Sokoine Drive, u pay TZS 2,000 per day
2. Salamander tower GSM parking Samora Avenue, u pay TZS 3,000 per day.
No. 1 ni most recommended ingawa kwa leo inabidi uwe mpole kwa sbb ni siku ya misa so parking ni scarce!
Sijakuelewa ni nini kinakusumbua, si uache gari yako nyumbani upande mwendokasi ya Chalamila hadi huko ferry, au unakademu maaneo hayo unakafukuzia kanakutia kiwewe, sasa ufike na gari umlingishie uliache hapo awe analitazama wewe uende huko Z, ukifika huko upande Chai maharage unakuwa umefanya kazi gani sasa!...