Msaada: Paradigms School of Health and Allied Science

Kwan hcho chuo kipo maeneo gany hcho paradigm
Kipo Kimara sehemu moja hivi inaitwa Bonyokwa,ukifika kimara mwisho kama ulizia stendi ya magari ya Bonyokwa harafu panda.Watakushusha karibu na Chuo kabisa....Ila pia unaweza kufika ukitokea TABATA.Niliwahi kwenda pale mwaka jana kumwangalizia Dogo nafasi,ila sikufurahishwa na mazingira
 
Visije vikawa vile vyuo ambavyo MASAKO anavitangazaga kabla ya kuanza kwa kipindi cha vichekesho cha MIZENGWE
 
Habari za majukumu wadau .Samahan wadau kati ya chuo cha Kampala na paradigm college of Health and Allied science...kipi kinafaa kusoma diploma ya pharmaceutical science
 
Kipo Kimara sehemu moja hivi inaitwa Bonyokwa,ukifika kimara mwisho kama ulizia stendi ya magari ya Bonyokwa harafu panda.Watakushusha karibu na Chuo kabisa....Ila pia unaweza kufika ukitokea TABATA.Niliwahi kwenda pale mwaka jana kumwangalizia Dogo nafasi,ila sikufurahishwa na mazingira
Yaaah, actually college surrounding area is bad.. So bora pale KAM pako good
 
Habari za majukumu wadau .Samahan wadau kati ya chuo cha Kampala na paradigm college of Health and Allied science...kipi kinafaa kusoma diploma ya pharmaceutical science
Hvyo hamna kitu.. Hivi kwann watu mnavikubali sana hvi vyuo vya DAr wakati vingi ni magumashi tu..
Kama private mikoani kuna vyuo vizuri sana kuliko Dar
 
Back
Top Bottom