Msaada page yangu ya facebook imehakiwa

Msaada page yangu ya facebook imehakiwa

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
681
Wakuu salamu

Nina page yangu Facebook,kuna jamaa fulani hivi Nadhani ni wa nje ya Tanzania alinitumia sms WhatsApp akisema kuwa anataka awe anaweka matangazo kwenye Facebook page yangu na awe ananilipa.

Alinitumia link ili nijiunge na ile link lilipoicheki ni ya Facebook kweli inayohusu maswala ya Business Advertisement.

Baada tu ya ku login kwenye ile link jamaa aliniondoa kuwa admin wa page yangu,hivyo sina access yoyote ile kwenye page yangu zaidi ya kuiona tu kama viewers wengine.

Nimejaribu ku report Facebook mara kadhaa lakini hawajibu.

NAOMBA KAMA KUNA MTU MWENYE UTAALAMU ZAIDI ANISAIDIE.

Iwapo utafanikisha kuirudisha kwangu,basi sina budi kukulipa japo kidogo tu.

Kama kuna mwenye uwezo naomba anicheki kwa namba hii 0712778881
 
Nenda huko huko Facebook tafta mtu anaitwa Jamali Tarimo (kama hakubadilisha jina) malizaneni nae. Anajua
Tena mwendee kwa kumnyenyekea. Profile yake iko hvView attachment 1989662
 
.
IMG_20211028_151129.jpg
 
Uwez kurudisha hio accounts kwasabab
Hyo alikutumia fake links Tatar atakuwa ameshachange user name, n passwords,
Pole kwa kufanyiwa fishing na social engineering
 
Wakuu salamu

Nina page yangu Facebook,kuna jamaa fulani hivi Nadhani ni wa nje ya Tanzania alinitumia sms WhatsApp akisema kuwa anataka awe anaweka matangazo kwenye Facebook page yangu na awe ananilipa.

Alinitumia link ili nijiunge na ile link lilipoicheki ni ya Facebook kweli inayohusu maswala ya Business Advertisement.

Baada tu ya ku login kwenye ile link jamaa aliniondoa kuwa admin wa page yangu,hivyo sina access yoyote ile kwenye page yangu zaidi ya kuiona tu kama viewers wengine.

Nimejaribu ku report Facebook mara kadhaa lakini hawajibu.

NAOMBA KAMA KUNA MTU MWENYE UTAALAMU ZAIDI ANISAIDIE.

Iwapo utafanikisha kuirudisha kwangu,basi sina budi kukulipa japo kidogo tu.

Kama kuna mwenye uwezo naomba anicheki kwa namba hii 0712778881
Umeripoti vipi huko fb? Ulitumia njia sahihi?

Ingia hii link
Code:
https://www.facebook.com/help/contact/1280439701975125

Angalia kama watakupa option ya kurudisha
 
Usirudie tena kufungua link ambayo hauijui, hili swala tumelizungumza sana humu.Nadhani utakuwa mgeni katika haya maswala ya social networks.

Pole sana mkuu.
 
Amejieleza Hapo Ni Mweupe
Katupiwa Tangazo Na Maneno Matamu Akajua Anatoboa
Kumbe Anapigwa Tukio

Bwana Bure Hayupo
 
Uwez kurudisha hio accounts kwasabab
Hyo alikutumia fake links Tatar atakuwa ameshachange user name, n passwords,
Pole kwa kufanyiwa fishing na social engineering

phishing
 
Back
Top Bottom