Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

Coaxial na fiber hizi ni huduma gani?? Namna ya ufanyaji kazi wake mpaka mm napata internet ni upi? Nafanya je ili kupata?

Naomba nisaidiwe hayo maswali yangu wakuu.
Mkuu hizo ni waya either zinachimbiwa chini ama zinapita kwenye nguzo, zinapitisha Internet.

Kupata huduma zao kama waya umepita kwenye Jengo lako unawasiliana na kampuni husika, wanakuletea router yao na ku kuunganisha.

Wewe unakuwa unalipia kwa mwezi, na uzuri wa fiber hupimwa kwa speed ya internet na sio kiasi unachotumia. Unaweza download maelfu ya GB hawajali.
 
Wewe unakuwa unalipia kwa mwezi, na uzuri wa fiber hupimwa kwa speed ya internet na sio kiasi unachotumia. Unaweza download maelfu ya GB hawajali

Mkuu hizo ni waya either zinachimbiwa chini ama zinapita kwenye nguzo, zinapitisha Internet.

Kupata huduma zao kama waya umepita kwenye Jengo lako unawasiliana na kampuni husika, wanakuletea router yao na ku kuunganisha.

Wewe unakuwa unalipia kwa mwezi, na uzuri wa fiber hupimwa kwa speed ya internet na sio kiasi unachotumia. Unaweza download maelfu ya GB hawajali.
Asante sana mkuu
 
Mkuu Chief-Mkwawa ipi bora kati ya ADSL & Fiber ama zinafanana maana nimeelezwa leo kuwa hivyo vifurushi ni vya ADSL ambayo wanauza 50k
Fiber ni bora sana mkuu, sema ukikosa kabisa Adsl si haba, Adsl haina tofauti sana na Internet tunazotumia na modem mtaani zile za dial up.

Cha muhimu fanya utafiti eneo lako utapata speed kiasi gani na kama kuna hidden fees nyengine.
 
Ngoja nifuatilie zaidi shukrani mkuu
 
Adsl zina tabia jinsi ulivyo mbali na mitambo yao ndio jinsi speed inakuwa ndogo, muhimu sana kujua eneo lako utapata speed gani.
Apparently sio dedicated ni shared so kama hicho kifurushi cha 8/1 Mbps utapata wastani wa 6 Mbps download speed ambayo sidhani kama ni kibaya kwa kweli.

Ila na vifurushi vyao vya fibre viko poa sana.
 
6mbps una stream full hd si mbaya mkuu, hata zuku si dedicated sema tu capacity yao haijajaa.

Ukishakuwa na internet unlimited hata mambo ya kudownload yanaondoka.
 
Nilikuwa najua zuku ni dedicated, basi ngoja nichukue hiki tu since ni almost the same.

Na shida yangu kuu ilikuwa kupata unlimited. Nita stick na hivi mpk fibre ikifika mitaa yangu.
 
Hilo bando unalotaka kuchukua ni kwamba unajiunga kwa kutumia line, au ni huduma ambayo wanakuvutia waya nyumbani?
 
6mbps una stream full hd si mbaya mkuu, hata zuku si dedicated sema tu capacity yao haijajaa.

Ukishakuwa na internet unlimited hata mambo ya kudownload yanaondoka.
Nikienda ofisi za TTCL kuulizia huduma za kuunganisha huduma ya internet.
Kutoka sehemu fibre cable zilipopita hadi ofisini kwangu ni kama mita 80 hadi ofisini kwangu, gharama walizoniambia za kuunganisha ni zaidi ya milioni 1.2 bila gharama za kifurushi.

Huduma ya ADSL maafuru kama coper wanaunganisha kwa laki 2 na nusu pamoja na kifurushi. Hii huduma sina imani nayo kabisa. Niliwaomba wanijaribie nione speed yake ila waligoma.
 
๐—ฆ๐—ถ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฒ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ณ๐˜‚ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐—ฏ๐—ผ๐˜ƒ๐˜‚...
 
Nikienda ofisi za TTCL kuulizia huduma za kuunganisha huduma ya internet.
Kutoka sehemu fibre cable zilipopita hadi ofisini kwangu ni kama mita 80 hadi ofisini kwangu, gharama walizoniambia za kuunganisha ni zaidi ya milioni 1.2 bila gharama za kifurushi.

Huduma ya ADSL maafuru kama coper wanaunganisha kwa laki 2 na nusu pamoja na kifurushi. Hii huduma sina imani nayo kabisa. Niliwaomba wanijaribie nione speed yake ila waligoma.
Adsl mkuu ni dial up ni huduma ya kizamani na obvious ping si nzuri na speed si kubwa sana, ipo haja ya kuomba speed yake uone ipoje.

Ila unlimited ni unlimited, hata kama ni 2mbps, utatumia mamia ya GB kwa mwezi, hakuna mtandao utakaokupa hio value kwa bei za kawaida.
 
Back
Top Bottom