Niliwahi kua na oppo R7s Yenye tatizo kama lako!hukununua kenya Mkuu?maana tatizo ni kua hiyo simu haisupport Bands za Tanzania!ipo tu hapa niliamua kununulia mobile wi-fi.....
Nadhani shida ni bands tu hapo inasupport za Gsm na ninahisi ni Chinese version hiyo kwa sasa halotel wana 4g ambayo ipo band 7(2600) jaribu hiyo mkuu labda itasoma...mtandao pekee unaoweza kupanda 4g ni smile.