heshima kwenu wakuu.
simu yangu imeanza kushindwa kufungua operamini na ucbrowser inaandika failed to connect to internet mwanzo ilikuwa inaconect kama kawaida. natumia samsung GT-3300i samsung sharp naomba msaada wenu.[/Q]
itakuwa ni tatizo la access point,hvyo bac jarib kuingiza configuration zenye access point