kaa kwa kutulia tu bro mzigo ukifika dar unapewa taarifa ,na hata ukija iringa yupo muhusika wa kikuu atakupigia mwenyewe kama ulijaza adress ya iringa usiwe na hofu mi niko sumbawanga hakuna ofisi ya kikuu ila mzigo ukifika tu jamaa ananipigia naufata