Mkuu, binafsi nimejikuta nasikitika sana kwakweli.Wasalaam waungwana. Naombeni kujuzwa namna ya kuandaa "Office Hand Over Document/Barua ya kukabidhi Ofisi" Mimi ni mtumishi wa Umma nimepata uhamisho sasa nataka kuandaa hiyo document sina uelewa mpana wa vitu vya kuweka katika hiyo document.
Karibuni..
Ukiingia Google utapata hizi vitu za kila aina chiefKipi kikusikitishacho?
Vifaa vya laptop Ni vipi?Kutoka kwa : wewe
Kwenda kwa : unayemkabidh
YAH: KUKABIDHI OFISI
Husika na somo tajwa hao juu.
Nimepata uhamisho kwenda... hivyo nakabidh ofisi na majukumu yangu kwako pamoja na vifaa vya laptop .........
Wasalaam waungwana. Naombeni kujuzwa namna ya kuandaa "Office Hand Over Document/Barua ya kukabidhi Ofisi" Mimi ni mtumishi wa Umma nimepata uhamisho sasa nataka kuandaa hiyo document sina uelewa mpana wa vitu vya kuweka katika hiyo document.
Karibuni..
Ulitaka uwe na wapi.?!
Achana nao wengi humu wana hasira za kukosa kazi maana wamejaza mavyeti ila kazi hamna.Duh haya bwana. PC/simu mali yako na Bundle umejinunulia mwenyewe endeleaaaaaaaaa kubwabwaja..
Siyo hivyo kwani wewe ulikabidhiwa je ? Halafu ni aibu Office Bearer mzima huna Standing OrdersKweli kabisa.