Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Ndugu wana JF
Ninapokaa kuna shorti nyumba nzima kutoka kwenye earth wiring sijajua tatizo ni nini haswa. Naogopa washa kifaa chochote cha umeme kwa sababu kuna short kubwa sana. Naomba msaada wenu jinsi ya kuidhibiti hiyo short