MSAADA: Nyoka ameingia ndani kwangu

Uko na point pia haki angekua mwanamke kelele zake watu wangeamka nilijaribu tu kuwaza maybe angefanya jambo kwa haraka sana kabla ya kupost

Anyway, kumeshakucha ni matumaini yangu huyo nyoka alitokewa ndani kwa kweli
 
Tafuta wachina waje wale kitoweo kimejileta chenyewe
 
utashangaa jitu linakuja "linasema wanaume wa dar ndo zenu hizo hata kinyoka kisicho na sumu mnaogopa"
 
Uko na point pia haki angekua mwanamke kelele zake watu wangeamka nilijaribu tu kuwaza maybe angefanya jambo kwa haraka sana kabla ya kupost

Anyway, kumeshakucha ni matumaini yangu huyo nyoka alitokewa ndani kwa kweli

Akitoa feedback nitag kipenzitujue kuliendaje
 
Washa moto kwenye Nyumba atatoka nwenyewe
 
Nyoka gani sasa huyu aliye kwenye mwili wa mwanaume au na ameingia ndani kwako kwa mbele au kwa nyuma?
Uzi mwingine bhana bora tukushauri ujinga tuu km wewe mwenyewe ulivyoamua kuleta huu uzi wa kijinga
 
Mkamate kamtupe mbali acheni kuua ua viumbe ovyo !wakiisha hao kutakuwa na mfumuko wa panya mpaka tuchanganyikiwe .
Paka sikuhz wanakula chips yai nyoka wanajitahida kugonga msosi wa panya nahisi nyoka wote wana asili ya umakonde
Well said
 
Mtoa mada mbona huleti mrejesho aisee we are worried
 
Mjomba mwaga nzutu tu mkuu huwa hapendi harufu kali huyo kiumbe
 
Nenda mtafute ndani umuangalie maumbile yake kama analichwa cha pembe tatu ua kwa sababu atakuwa na sumu na kama kichwa chake si pembe tatu mkamate kichwani kisha kamtupe mbali usiue maana hao mara nyingi ni malaika wa bwana
green mamba na boomerang hawana vichwa hivyo na wana sumu pia
 

Unapata na muda wa kuandika wakati nyoka yupo ndani
C kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…