Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Angekuwa na uwezo wa kuwahi fasta na kumuua asingeomba msaada...muda anaotype hapa angekuwa keshamuuaUsianye...kama ni nyoka mweusi hana shida huyo anaenda kukupunguzia panya ndani.
Kama ni wa kijani (ni nadra kuingia ndani) kama nyumba ina tiles au sakafu muwahi faster umuue coz hawezi tembea vizuri hapo, kabla hajaingia kwenye materials kama mbao au nguo...na huwa wanaruka hao.
Usimstue wife maana ataweza kufa kwa presha kama unavyowajua hawa hata mjusi tu wanaogopa haswa.
Halafu huyo mtoto atalalaje ndani?Mkuu choma mpira Wa gari baiskeri au hata hii ya kufungia vitu mhm iwe mpira jitahidi moshi uwe Wa kutosha lzm atatoka choma kwa tahadhari bila kuathiri kitu hawaipendi hiyo harufu
Mkamate kamtupe mbali acheni kuua ua viumbe ovyo !wakiisha hao kutakuwa na mfumuko wa panya mpaka tuchanganyikiwe .Usianye...kama ni nyoka mweusi hana shida huyo anaenda kukupunguzia panya ndani.
Kama ni wa kijani (ni nadra kuingia ndani) kama nyumba ina tiles au sakafu muwahi faster umuue coz hawezi tembea vizuri hapo, kabla hajaingia kwenye materials kama mbao au nguo...na huwa wanaruka hao.
Usimstue wife maana ataweza kufa kwa presha kama unavyowajua hawa hata mjusi tu wanaogopa haswa.
Choma mpira ndani au pilipili.Ila pilipili itawaumiza watu waliomo ndani watakohoa sana na kuwashwa macho.Wakuu leo yamenikuta!
Nimetoka nje mara moja kwenda kufunga vioo vya gari vizuri ile nataka nirudi mlangoni kwangu niingie ndani naona joka kubwa refuu linapotelea ndani kwangu.
Na kupo giza ndani na nyumba ina rooms 3 store na jiko.Ameingilia mlango wa jikoni.
Nifanyeje maana wife yupo chumbani na mtoto na wameshalala.
Naombeni ushauri.
Inaweza pia ikawa mazingara hayo. Pamoja na kufanya hayo mengine, kama ni Mkristo, vunja kila roho na mashambulizi yeyote kwa jina la Yesu. Kama huwezi ita majirani pia wanaloamini Jina la YesuWakuu leo yamenikuta!
Nimetoka nje mara moja kwenda kufunga vioo vya gari vizuri ile nataka nirudi mlangoni kwangu niingie ndani naona joka kubwa refuu linapotelea ndani kwangu.
Na kupo giza ndani na nyumba ina rooms 3 store na jiko.Ameingilia mlango wa jikoni.
Nifanyeje maana wife yupo chumbani na mtoto na wameshalala.
Naombeni ushauri.
Yaani it doesnt make sense anakaa sehem anatype nyoka yumo ndani huyu ni mwanaume na kichwa cha familia aisee alichopaswa kufanya angetafta namna ya kumkabili nyoka akishamuua aaandike tu kama maelezo na jinsi alivyoweza kua shujaa kunusur familiaAnatujulisha tu ana gari na three bed house
Utapataje mda wa kuandika kwani hana jirani au hahaha vituko haviishi jf siku hizi