Msaada: Nyani wanakula kuku wangu

Aisee nimecheka mpaka machozi yamenitoka.. Hao nyani ni wa mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


mhhhhhh hii chai imezidi
 
Hadithi za kitambo kile kipindi cha analogy sasa hivi watu wako digital kaka!!! acha fiksii
 
Chukua ushauri wa post #5, acha maneno Mengi!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Fuga mijibwa kama mitatu hivi.. Alaf toa taarifa waje wagongwe risasi tu... Au nunua kiupinde na mshale. Atakeingia kwa 18 ni mishale mvua yan
 
Kabla nyani ngabu hajaanza kucheka mimi ndio nimeanza kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyani nawafahamu vizuri sana.ni wasumbufu hatari.jaribu kununua matunda mbali mbali wanayopenda.

Ndizi, ,tikiti, mihogo, viazi.

Kisha weka sumu au sindano wawekee wale wakifa watapotea hapo.
 
Kamata nyani mmoja, usimuue kisha kampake rangi ya ku spray nyekundu na nyeupe (kama jezi ya simba) mwili mzima, akisha kauka mfungulie akimbilie wenzake. Watakuwa nao wanamkimbia hivyo wanaweza kukimbia mpka mikumi toka bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…