msaada nwezaje kujua tena password ya email?

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
123
naomba msaada jinsi ya kutambua tena password ya ac yangu ya Gmail natanguliza shukran.
 
Mitandao mingi ina option ya ku- provide emails password kama ulisahau.
 
Email gani... Gmail au live , yahoo etc?
 
Ukienda sehemu ya login Gmail utaona link ya Forgot password, click hiyo kisha fuata maelekezo.
 
fungua hiyo email yako halfu ingiza hiyo password ambayo ni wrong p/word , baada ya hapo itakuambia wrong password basi nenda:majani7: forgot forgot pword:mod:
hakikisha unasimu yenye laini ili wakupe verification code kwa ajili ya kuhakikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…