Msaada number za Azam Media

Msaada number za Azam Media

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
 
Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
hata ukizipata utakerwa sana kwa kutopokea calls zako
 
toka jana na waandikia hawaanijibu wala kupokea simu
Screenshot_2021-09-15-20-44-23-400.jpg
 
Unatakiwa ufanye hivi *150*50*5# katika simu yako,utaambiwa chagua kiswahili au kingereza,utaambiwa ingiza namba za smartcard,utaona ujumbe Ni namba 4 nadhani unasema washa kisimbuzi,utatuma.utaambiwa ujumbe wako umepokelewa,utazima recorder afu utawasha Kama bado Basi ni tatizo lingine.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mwenye ule scanner ya kipata azam tv free naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom