Ukitaka kupata uhakika, nenda kwenye settings, general halafu about halafu angalia serial number. Ingia kwenye website ya apple nenda kwenye customer support, utatakiwa kuingiza serial number ya cmu yako, kama ni original itaidentify model ya cmu na kama bado iko ndani ya warranty. Good luck