ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
download kies 3 kwenye pc yako mkuu itakubaliMsaada
Baada ya hapo nafanyajedownload kies 3 kwenye pc yako mkuu itakubali
kwani wewe unatakajeBaada ya hapo nafanyaje
Yaani simu yangu nikiweka usb haionesh mass storage wala nn zaidi zaidi inacharge nikiconnect kwenye pckwani wewe unatakaje
ukisha download, install ,restart pc, connect note 4 yako.Baada ya hapo nafanyaje
Kaka hii kies niweke kwa simu au pc? Niliweka kwenye Pc haikufanya kazi labda kwa vile nilikuwa sijarestat pc!1. inawezekana haina driver, solution yake ni kueka driver, eka kies kama mdau wa juu alivyosema automatic itaeka driver
2. cable sio nzima inachaji tu solution badili cable
3. simu imebadilishwa usb au system charge na fundi ameunga tu waya za kucharge hajaunga za data.
unaweza tumia wifi kushare mafile baina ya pc na simu
lengo la kies ni kueka drivers, kama umeieka na still haisomi inamaana una tatizo la waya au port ya simuKaka hii kies niweke kwa simu au pc? Niliweka kwenye Pc haikufanya kazi labda kwa vile nilikuwa sijarestat pc!
Kwa kutumia wireless inakuwajelengo la kies ni kueka drivers, kama umeieka na still haisomi inamaana una tatizo la waya au port ya simu
inabidi vifaa vyote viwili viwe kwenye netowrk moja, mfano unatengeneza hotspot na simu halafu unaconect na pc, halafu uwe na apps ya kutumia hayo mafileKwa kutumia wireless inakuwaje