Msaada:not enough memory

Msaada:not enough memory

mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
6,318
Reaction score
6,653
Nina simu Epress Music 5130c-2,awali nilikuwa naitumia kama modem baada ya muda kama wiki 2 nadhani virus waliingia kwenye simu. Tatizo ni kwamba browser ya kwenye simu imeliwahaipo,media player kila niki play music au kufungulia radio inaandika hivi NOT ENOUGH MEMORY. Naomba msaada wadau.
 
kama kweli unavyosema ,wapelekee wenye software ya hiyom simu waiflash itakuwa poa
 
Back
Top Bottom