Madebwa jr
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 132
- 161
Hii siyo kwamba nina-install application, bali ni kwa application ambazo zilikuwa zinafanya kazi vizuri kabisa kwa mfano hii picha ni ya Ms Wordkwenye title umeandika Not a Valid Win32 Application Error hii hutokea mara nyingi endapo unajaribu ku-install application ambayo ni ya 64bit os kwenye 32bit os
pia hutokea kama application file lako limeharibika
kwenye maelezo umeandika 'window32 application error' hii mostly husababishwa na corrupt file/ yaani file unalotaka ku-install limeharibika
Huyo kirus nitamuondoa kwa antivirus ip? Maana natumia Avast antivirus.Virus huyo
Una Microsoft Essential Security? Ipo updated?Huyo kirus nitamuondoa kwa antivirus ip? Maana natumia Avast antivirus.
Microsoft Essential Security haipo mkuu.Una Microsoft Essential Security? Ipo updated?
Download, install kama ni kirusi hata Hii microsoft itakiondoa.Microsoft Essential Security haipo mkuu.