Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
habar yak chief xor ka ntakuwa nmetoka nje ya maada me na cmu yang nokia lumia 520 ila nikienda kwenye store yao kudownload apps kama wasap wananiambia error code 80070490 nmefanyia hard reset wap naomba nsaidie bro