IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,855
- 7,460
Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
ni android.
download store kama 1mobile market au amazon app store zitasolve tatizo la apps
kueka playstore
Advanced Nokia X2 Tool for Google Play installation, Rooting, Recovery with ease on Nokia X2 | Nokiapoweruser
ila kama huna matumizi makubwa usieke playstore tumia tu hio 1mobilemarket.
Tatizo ya hii mobile market haina apps nyingi nazohitaji mjanja anyway
unayo? kuna market inayokuja na hio simu na kuna 1mobile market. hio 1mobile market ina mamilion ya apps inshort ni clone ya playstore.
Ninayo one mobile market of course ina apps nyingi lakini kuna zile hazipo accesible kama za google mfano you tube google earth nk
Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
Mungu ashafahamu dhamira yako mbovu kuhusiana na mambo unayoyatafuta huko Google.
hizo za google huwezi zieka mpaka uwe na playservice, fat link ya juu kuflash app za google