Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Mar 9, 2013 #1 Jamani naomba mnisaidie kwenye Nokia X2-01 kwenye menyu kuna software ya email sasa niki ifungua haifunguki lakini mwanzo ilikuwa inafunguka,Asanteni
Jamani naomba mnisaidie kwenye Nokia X2-01 kwenye menyu kuna software ya email sasa niki ifungua haifunguki lakini mwanzo ilikuwa inafunguka,Asanteni
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Mar 9, 2013 #2 je internet inafanya kazi au haifanyi kazi?