New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,450
- 2,683
msaada wadau nimenunua Nokia x2--01 mpya yenye nembo ya t-mobile cha ajabu ndani hakuna ovistore vilevile hata nikidownload haifanyikazi yaani ukitaka kufungua tu inaandika closing application.. Naombeni msaada wataalam na hii kwangu ni x2-01 ya pili kutumia ya kwanza ilikuwa poa ingawa ilikuwa second hand..