msaada: nokia pc suite

An elect

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
89
Reaction score
20
habarini wana jamvi? ninatumia nokia pc suite(ovi), lakini siku za karibuni inakataa kabisa kudetect simu, simu inaandika no response from host(yaan pc), niende sehem gan kufanya settings?, nim ejaribu sijapata suluhisho, natanguliza shukrani
 
kama ulidownload au setup unayo... Ondoa iyo iliyopo yaani uninstall then install upya.. (ni kitendo cha dakk 2 so hakitakukost..) then check kama tatizo solved..
 
Fanya ku uninstall mkuu then install
 

Attachments

  • shot_094_2013_03_01.png
    13.5 KB · Views: 38
Kama unatumia cable kumbuka kuaccept kwenye simu yako na kama unatumia Bluetooth make sure it's on, matatizo yakizidi reinstall upya.
 
Kama umeconnect na simu imezimwa, hakikisha imewashwa. Ikikutaka uaccept fanya hivyo. Lakini kama haidetect hata kwny pc yenyewe basi check kable yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…