Ovi NOKIA SUITE msaada Pleaz

Ovi NOKIA SUITE msaada Pleaz

sayicom

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
66
Reaction score
1
Wataalamu wa Mambo naomba mnisaidie Kwenye hii Ovi NOKIa Suite Simu yangu Ni NOKIA C3 nikitaka kuitumia Kama Modem huwa Inaandika HOST Not found tatizo ni nini nisaidieni Pleaz
 
lazima uwe na nokia suite kabla hujai-connect, weka laini yako ya voda ikikubali sasa toa hyo line ya voda na weka line yoyote unayotaka kutumia kazi kwisha... ukikwama watakuja wataalamu wengine kukusaidia.......
 
@dIZZLE
Nokia suite ninayo lakini haikubaliki kila nikiknnect yaani sasa simu yangu imeandikwa OVI NOKIA SIUTE LAKINI mie nina MOKIA SUITE sasa labda nio tatizo?
 
Mie nilichofanya ni kufungua account ya email .........@ovi.com basi na kuitumia kwa emails tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom