Msaada Nokia N97

Mchakatoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
327
Reaction score
63
Habari wanaJF simu yangu N97 ukiwasha inakata mawasiliano kati ya screen na keypad ambapo screen haidisplay signal yeyote wakati keypad inawaka...nadhan nitatzo la mkanda sijui ntaupataje na shiling ngapi? msaada jaman!
 
Wapi uko located?kama Dar upite Mtaa wa agrey muone Mama Masawe,Richard,au Erick au uhuru road duka City Phone utapata unachohitaji kuhusu cmu!






















xvideos, descargar ares, ares
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…