msaada nokia lumia 610 vs techno n7

msaada nokia lumia 610 vs techno n7

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
wadau nataka kudaka moja kati ya hzo cm naombeni ushauri ipi itanifaa zaidi.
Natanguliza shukrani.
 
LUMIA iko juu! Mdau ingawa techno cjaitumia,cdhani kama inaweza kuipiku! NOkia PRODUCT!
 
Lumia kutumia uduma ya m-pesa wala tigo pesa kwa ufupi uduma ya ussd haipo kabsa kwenye lumia
Bora techno n70
Kumbuka simu ambayo ina Windows phone haina uduma ya ussd.
 
kuna wadau walisema nokia lumia zinazingu ussd(mpesa n.k)...jarib tecno...ila kwa ushauri jaribu na samsung galaxies....
 
kwa lumia 610 na n7 techno nakushauri nenda techno specs wise n7 ni nzuri saidi. sema ipo lumia 520 kwa bei rahisi zaidi inazipiku both tecno n7 na lumia 610
 
Napingana na ww mkubwa sio windows phone zote zinasumbua ussd code, almost Lumia zote zinazoishia na 20 eg. 520, 620, 720, 920 hazina matatizo ya ussd code. Ila kama Lumia 900, 800 na model nyingine ambazo zina namba za design hiyo ndo zinazingua ussd code.
Lumia kutumia uduma ya m-pesa wala tigo pesa kwa ufupi uduma ya ussd haipo kabsa kwenye lumia
Bora techno n70
Kumbuka simu ambayo ina Windows phone haina uduma ya ussd.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
hiyo nokia ni durable na ni very responsive ukilinganisha na techno.

nokia lumia bluetooth inasumbua ikiwa na window phone 7 ila uki upgrade to 7.8 inakuwa poa

ussd pia haiko supported kwa nokia zote zenye windows phone 7 (including lumia 610) ila nokia wametengeza app inayo itwa emDIAL ina saidia kusolve hilo tatizo

Ushauri:
Nunua nokia yenye widows phone 8
 
Lumia kutumia uduma ya m-pesa wala tigo pesa kwa ufupi uduma ya ussd haipo kabsa kwenye lumia
Bora techno n70
Kumbuka simu ambayo ina Windows phone haina uduma ya ussd.

Huduma Ya Ussd Ipo Kwenye Windows Phone! Ila ni kwa Windows Phone 8 ... Hyo lumia inatumia windows 7.5 updated to 7.8...

Kama Unataka Windows phone tafuta nokia lumia yoyote inayoishia na 20... Mfano 520, 620, 820 na 920... Hz znapga ussd kama kawa
 
asanteni sana bandugu vp hzo n7 zinakaa na charge afu original yake unaijuaje?
 
kwa lumia 610 na n7 techno nakushauri nenda techno specs wise n7 ni nzuri saidi. sema ipo lumia 520 kwa bei rahisi zaidi inazipiku both tecno n7 na lumia 610

kaka hyo 520 inapatikana wapi na kwa bei zipi msaada plz?
 
Back
Top Bottom