Msaada nokia lumia 535

Msaada nokia lumia 535

dizasta

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
8
Reaction score
2
Wakuu natumaini mpo flesh...naomba kusaidiwa simu yangu ya microsoft lumia kamera haifanyi kazi kabisa nikiifungua inaload alafu inarud kwenye menu tatizo limeanza baada ya kuianzisha simu upya(hard reset)mwenye kujua anisaidie
 
Hamna update kwenda new window vision example window 8-kwenda window 10 sio mtaalamu wa window phone jaribu hivyo kisha subiri waje wenye window zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mpaka 3rd party apps hazifanyi kazi inamaana ni tatizo la hardware either imechomoka camera ama imeharibika.

Ukitumia selfie inafanya kazi?
 
Inaweza pia kuwa tatizo la software jaribu ku hard reset ikikataa flash ikikataa peleka kwa fundi akaiangalie
Nmefanya hard reset mkuu bado ipo vile vile pia najaribu kuupdate window inachkua muda sana masaa 3 haijaanza hta aslimia moja
 
Nmefanya hard reset mkuu bado ipo vile vile pia najaribu kuupdate window inachkua muda sana masaa 3 haijaanza hta aslimia moja
Kwenye ku download amna options wanakupa either kutumia Wi-Fi au mobile network kama ipo chagua mobile network uwe na atlest 2g za data na internal memory inatosha au uweke sd card jaribu hivyo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmefanya hard reset mkuu bado ipo vile vile pia najaribu kuupdate window inachkua muda sana masaa 3 haijaanza hta aslimia moja
Maana kama window update ipo ni vyema ku update kwanza kama tatizo bado lipo nenda kwa fundi kama chief alivyo kushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom