Habari mkuu naomba msaada kwa haya
1.Naomba unisaidie jinsi ya ku unlock network ya blackberry 9720 kama tutorial au kipi ma kipi niwe nacho ili nifanye hili mwenyewe.
2.Naomba kufahamu wapi ntapata kioo na touch ya nokia lumia 520 kwa kiasi gani.Ahsanteh mkuu.