Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
nimeona ebay lumia zinauzwa kwa bei ya kutupa hasa 520
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.

Elimu haina mwisho, naomba kuelimishwa: ebay ni nini? Umaarufu wa Nokia lumia ni upi ukilinganisha na samsung
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.
asante mkuu... Naomba kuuliza tena! Nikibadili 'front glass' screen ita 'sense'? Coz toka imedondoka kila niki 'touch' haitoi response yoyote!
Asante sana kwa elimu. nasikia Nokia wanatumia windows version 8, wanazisifia sana! hii ina tofauti gani na simu zingine kwani zinatumia program gani
thread ya zamani kidogo ila isome itakupa mwanga
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...725-windows-phone-vs-android-niende-wapi.html
yap jina jengine front glass ni touch screen digitizer, jaribu agreyy ulizia kwa rich wana hivyo vitu vingi tu. ila kuwa makini mafundi wengi watataka wakubadilishie full usikubali kama kioo ni kizima.

badilisha touchscreen km maandishi yanaonekana (touch sreen zipo hata mimi ninazo)Imedondoka... imepata nyufa kidogo kwenye kioo cha juu lakini wino haujavujia! Swali; kuna haja ya kununua screen mpya? Ama hiihii yaweza fanyiwa matengenezo?
kama alivyokujibu jamaa hapo juu, hilo ni tatizo la touch kama unaona inamaana display ni nzima.hii kwangu lumia 625 imepasuka kioo cha mbele lakn inafanya kazi nilienda kwa fundi mmoja akaniambia kubadilisha ni tsh 100000/ yupo sahihi au anataka kuniibia
Mkuu hivi bado unayo kuna mtu anhitaji display na touch yake.mimi nauza Nokia Lumia 520 pamoja na chaji yake 100,000 tu.
Hivyo vipuli vipo madukani kwa bei nafuu sanaMkuu hivi bado unayo kuna mtu anhitaji display na touch yake.