vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,808
- 2,192
Naomba msaada wenu, Noah yangu inagonga sana nyuma kama vile bush au Shockup zimekwisha lakini nimepeleka kwa mafundi watatu na wamesema gari haina tatizo na bush wala shockup na wamekazakaza vitu vingine huko chini lakini gari bado inagonga nyuma hasa upande wa tairi ya kushoto, Naomba mwenye ujuzi na hali hii amijuze kwani nataka kusafiri hivi karibuni