Itoye
JF-Expert Member
- Sep 29, 2017
- 531
- 1,024
Wakuu salaam.
Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.
Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na ujumbe inaoonyesha ni huu "No audio device installed".
Naomba kufahamu hili tatizo nalitatuaje?
Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri wenu.